
Karibu katika website hii, changia na toa maoni
My Latest Posts
- PhotoUFUGAJI BORA WA NGURUWE1.Utangulizi Nguruwe ni jamii ya wanyama wasiocheua, na wenye kwato zilizogawanyika. Wanyama wengine walio kwenye jamii hii ni pamoja na Nguruwe pori na Ngiri Nguruwe wanafugwa maeneo mengi duniani kwa zaidi ya miaka elfu moja iliyopita Nguruwe ni kati ya mifugo iliyoonyesha ufanisi mkubwa wa kutoa nyama na fedha kwakipindi cha mudaContinue reading “Photo”